LULU HAASA USAFI MAKANISANI
Msanii wa filamu nchini,Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka wazi kwa
nini anakerwa na uchafu kwa baadhi ya waumini makanisani.
Lulu alisema waumini wawapo makanisani na hata nje wanatakiwa
kuzingatia usafi wa mwili na roho kwani kuna kuna muda huwa wanasalimiana wanapokuwa
ibadani kwa kupeana mokono hivyo kama hawatazingatia usafi huenda ikaleta tabu
latila lulamilisha ibada.
“Mnaoweka vidole puani Kanisani, hamjui kama kuna ule muda wa
kupeana mikono ua mnatakaga kugundua nini?Tuwe wasafi wa Roho na mwili jamani,Wallahy
kuna mmoja alifanya hivyo pembeni yangu leo sijampa nkono bali nimempa ukweli
na wengine wajifunze kupitia yeye pia” alisema Lulu
Aidha mrembo huyo aliongeza kwa kusema kuwa kuna ustalabu unapaswa
hutumike ndo mana tunakumbushana na
kuelimisha katika mambo kama haya.
Na Brighiter Masaki.

No comments: