WANANCHI MTAMA "TUTANUFAIKA VIPI NA BOMBADIA"
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ameweka picha inayowaonyesha wanakijiji
ambao anadai wamemuuliza kuwa bomberdia ndio nini?
Huku wakihoji kuwa wao wa
vijijini wananufaika vipi na bomberdia?. Nape kupitia ukurasa wake wa Twitter
ameweka picha ambayo inaonyesha wanakijiji hao wakimsikiliza kwa makini huku
akisema wanapambana na hali zao.
Watu hawa wanapambana na hali zao! Waliniuliza
bomberdia ndio nini? Na sie wa vijijini tutafaidikaje au ni kwenu mjini tu!??
By Ester Mboga
By Ester Mboga

No comments: