Breaking News
recent

GUARDIOLA:TUTASHINDA MABAO MENGI TUKIWA NYUMBANI



Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa kucheza katika uwanja wao wa nyumbani kunauwezekano wa kushinda mabao mengi katika mchezo wao wa klabu bingwa barani Ulaya. 

 

“Tunapocheza nyumbani tunahisi tutafunga mabao mengi” amesema mkufunzi wa City, Pep Guardiola. “Ni nafasi ngapi tutatengeneza na kufunga lazima utakuwa mchezo wenye ushindani kwa hivyo lazima tuwe na tahadhari”.

 Manchester City itaingia kibaruani leo usiku kutupa karata yake katika mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Shaktar Donetsk

By Douglass David


No comments:

Powered by Blogger.