Breaking News
recent

SAMIA SUlLUHU AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU BENKI YA DUNIA


Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird, Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.

By Ester Mboga

No comments:

Powered by Blogger.