SIJAPATA BARUA YA KUJIUZULU KWA NYARANDU, HUO NI UMBEA.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai,
amesema kwamba hana taarifa za kujiuzulu kwa mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro
Nyalandu na wala hiyo barua bado haijamfikia, amekiita kitendo alichokifanya ni
umbea.
Job Ndugai ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na chombo kimoja cha habari nchini (jina tunalo) na kusema kwamba Lazaro hakupaswa kutangaza hivyo kabla ya kuhakikisha barua imemfikia.
“Sinaaarifa ya kujiuzulu kwa mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyarandu wala hiyo barua bado haijanifikia na yanayoendelea kwa sasa ni umbea”alisema Ndugai
Pamoja na hayo Spika Ndugai amewataka wabunge wengine kuacha kuwashwa washwa na kufanya mambo ambayo ameyaita ni ya umbea.
Na Brighiter Masaki.

No comments: