PETITI MAN ALIA NA WALIOVUJISHA PCHA ZA MAHABA MOBETO
SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo,
Hamisa Mobeto, kujitokeza
hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa
picha mitandaoni zikimuonyesha mwanamitindo huyo
akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache.
Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka
na kutoa kauli nzito.PETITMAN ANENA!
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petit alipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi yake Mobeto,kwa sababu anazaliwa mama mmoja na baba mtoto wake. Na kuandika ujumbe ufuatao:
By Douglass David

No comments: